Alhamisi, 18 Juni 2015

HATIMAYE ALLY CHOKI AOA



MKONGWEwa muziki wa dansi na mwimbaji wa bendi ya The African star, Ally Choki  ‘Kamarade’ amepata jiko baada ya kuishi mpweke kutokana na kufiwa na mkewe marehemu Mama Shuu.
Akizungumza kwa sharti la kutoandikwa jina Gazetini, mmoja wa karibu na Staa huyo alisema Ally Choki aliamua kufunga ndoa na mwanamke aliyezaa naye.
“Choki amefunga ndoa na mwanamke aliyekuwa amezaa naye hivi karibuni ili apate mtu wakumpikia futari,”kilisema chanzo hicho.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni